Za ndani kabisa.
Mitiani imewahishwa yote, kisha serikali ikatenga billion 700 kwa kile inachokiita elinino.
Ila ukweli ni kuwa Ama Lissu atafia jela kabla ya hukumu yatehe 6 November au Akina kabudi watalazimika kuandika hukumu ya kumnyonga.
Majamaa ya Zimbabwe hayataki kabisa kumuona lissu...
Kilasiku unamuona ikulu bado unauliza nani wakala wake kweli.
Kila chombo nchi hii anatoa maelekezo kupitia kikosi maalumu cha nyuma ya pazia kama usalama wa nyuma wasiojulikana
We kirahisi hivyo. Soma habari zao upya broo. Wameshika dola zote. Ni mtandao wa ushawishi wa kiuchumi kote. Jiulize kwanini mo anasema waliomteka walikuwa wasouth Africa. Jamaa ni hatari na nusu. Mkapa alivutia wawekezaji lkn alikosea sana kuwaamini makaburu na mawakala wao, Watu waliokulia...
Jamaa linawaamrisha mno. Ruto aliliendesha kwenye gari. Sasa raisi anaendeshaje Gari. Kamgeuza raisi kuwa dereva.
HAya majamaa ni hatari ndio yaliyoleta wauwaji toka sehemu mbalimbali za Africa. Na mpaka leo unasikia tu waliomteka mo walikuwa wanaongea kizulu.
Fatilia habari zao kaka. Sasa mambo yako wazi kila kona. Hakuna mtandao wala nini. Tanzania alibaki na nguvu ni Rostam Azizi tu. Na yeye siku si nyingi atapoteza kila kitu. Sio rahisi kufanya kazi na watu wanaojenga mifumo na wamejaa tamaa
Hakuna mtanzania mwenye maamuzi pale CCM zaidi ya mshirika wao Rostam Azizi. Ambae alifanikisha kucapture mfumo kwa kupewa ofer ya kusimamia biashara za UAE kule kenya
Makini vipi wakati anaziendesha na ukihoji tu unapotezwa. Yeye ndio serikali yenyewe. Hana biashara yoyote ya kwake ya kueleweka. Bali ni mtumishi wa mabilionea wa Zimbabwe na South Africa yanayoendesha nchi za Africa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.