Recent content by Hebie

 1. Hebie

  Anayejenga nyumba Tukuyu anisaidie niishi humo kabla hajahamia

  Ushirika na Tukuyu (kkk) ni Nyumbani Mimi ni mwenyeji wa mazingira hayo, ila sipo huko Kwa miaka kadhaa hivyo labda nikuunganishe na mtu anaishi mazingira hayo
 2. Hebie

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Wadau naomba Kujua Nini maana ya Booking kwenye betting? Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 3. Hebie

  Tarehe 23 Simba hatoki. Piga ua anakufa hapa kwa Mkapa

  Huko unakosema hujui CAF, ungeulizia kwanza Kuna mpunga kiasi gani ndiyo uje hapa JF. Pia unapaswa Kujua malengo ya timu ni nini, hata wachezaje wanatamani wacheze michuano hiyo, wewe usiejua ungekaa kinya Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 4. Hebie

  Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

  Nakubaliana na wewe a hundred percent Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 5. Hebie

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  C3260EA Betpawa Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 6. Hebie

  Nataka mwanaume anayefanya kazi

  https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2019657/ Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 7. Hebie

  Binafsi kuanzia sasa siweki tena pesa benki

  Ng'ongo maana yake ni milima?
 8. Hebie

  Nahita deli (chombo cha kuhifadhia vitu baridi)

  Kutafuta deli unaingia jf unaakili au matope
 9. Hebie

  Nilipowaridhisha wanawake wawili kwa wakati mmoja

  Jiandae [KUHESABIWA] Agosti 23 2022
 10. Hebie

  Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

  https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/42413469
 11. Hebie

  Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

  Mpeleke mwanao polisi, ama Kwa maafisa kilimo au kada ya afya ndani ya Mwaka mmoja tuone kama atakuwa amejua kusoma na kuandika, unapost mada hapa kama umesahau akili chooni!
 12. Hebie

  Vigezo vya kukopa Tala na branch ni vigumu kuliko vya Green Card

  Siku ya June 25-2022 uliponda sana walimu Kwa muonekano wao ukasema they are too primitive, uvaaji wao wa hobyo. Ukakazia kuwa wananuka MADENI kibao. Sasa huko TALA ulikuwa unafanya Nini? Kumbe wewe pia ni kapuku? unakesha 24 hours kukopa twenty? Haya ulete mrejesho hiyo twenty umekopa wapi...
 13. Hebie

  WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

  Elimu Msingi ila sekondari naenda kwa kuwa msingi niliazimwa tu kwa muda Hist na kiswahili
 14. Hebie

  WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

  WA KUJA RUKWA-SUMBAWANGA DC Nije ulipo hasa MBARALI, MTWARA, LINDI, MOROGORO NA PWANI. Elimu msingi 0744116484
Top Bottom