Recent content by heavenlight M

  1. H

    Serikali iangalie namna ya kuwasaidia Wagonjwa wa Dialysis MNH

    Wagonjwa wa figo hawana msaada. Gharama ni kubwa sana dialysis kwa session moja ni Shs 180,000. Mgonjwa anatakiwa kufanyiwa angalau mara tatu kwa wiki. Ikimaanisha Shs 540,000 kwa wiki. Wenye bima ya NHIF ya individuals kama Timiza haikubaliki. Dawa nyingi za kutibu figo hazikubaliki kwenye...
Back
Top Bottom