Recent content by heaven on desert

  1. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania Mnamkumbuka Heaven on desert?

    duh we mtu umenifanya nilogin kwa mda
  2. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania Heaven on desert (kifesi) nawasalimia

    Pasipo na Shaka my wazima nyote...me mzima kabisa naendelea kurutubisha ujana..kuna mtu naona kanikumbuka humu imenibidi niitafute paswed tena.... kitambo SNA siingii tena humu kuchangia but napitaga tu mara moja moja kuona watu wanasema nini kuhusu boss wangu na team yetu kwa ujumla ili tujue...
  3. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania Diamond awapiku P-Square on Youtube

    Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania. Mmiliki wa hit single ya ‘Mdogo Mdogo' Diamond Platnumz ameipiku video ya wakali wa Nigeria P Square...
  4. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Wakati tukikabiliwa na zoezi la kumpigia kura Diamond tuzo za Channel O na AFRIMA za Nigeria, Amekua nominated tena kwenye tuzo zingine za Nchini Humo kipengere cha best african Artist. Tutaendelea kuwajuza taarifa zaidi za Tuzo hizi, ila kumpigia kura kwenye tuzo za channelo bonyeza link hii (...
  5. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

    Video ya wimbo wa Diamond (ntampata wapi) ishakamilika na kabla haijaanza kuoneshwa rasmi katika vituo vya nyumbani,tayari vituo vya nje vimeanza kuionyesha na kuitambilisha, jana ilichezwa Trace tv na leo imetambulishwa kwenye kituo cha mtv base,lakini pia imechezwa kwenye tv za Nigeria...
  6. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania H.O.D. nimerudi

    a was busy na kazi zingine maa
  7. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania H.O.D. nimerudi

    we binti nilikumiss ujuwe,hujambo lakini
  8. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania H.O.D. nimerudi

    nyie watu bwana,ok nimetupieko nyingine
  9. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania H.O.D. nimerudi

    ha ha ah hiyo ya instagram?ndiyo hivo yaani
  10. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania H.O.D. nimerudi

    coke baridiiiii
  11. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania H.O.D. nimerudi

    najua umeongea makusudi tu na unajua siyo kazi yangu hiyo(kubeba pochi)na diamond hana pochi mzima lakini bibie?
  12. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania H.O.D. nimerudi

    ha ha ah ni picha tu imenitoa hivo ,afu mbona umeuliza gari pekee??
  13. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania H.O.D. nimerudi

    hapana mama sijawahi pigwa ban,a was busy tuu
  14. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania H.O.D. nimerudi

    ha ha ah nilikuwa busy
  15. heaven on desert

    JamiiForums Tanzania Christian Bella akitoa hii remix hii ya Diamond si atamfunika

    i miss you ujuwe
Back
Top Bottom