Mdau ameongea vizuri kusema tuna ng'ombe wengi uzalishaji ni mdogo, hii ni changamoto ambayo bodi ya maziwa inatakiwa kuiona na kuifanyia kazi lakini hii itategemea pia serikali kuiwezesha bodi hii ili kusaidia wafugaji vijijini kuzalisha maziwa kwa wingi kwa kuwapa vitendea kazi vya kutosha na...
Bodi ya maziwa imeundwa na wadau husika kama vile wafugaji, wasindikaji, wachuuzi, wakusanyaji na wauzaji wa maziwa ambao wameiunda baada ya kuona umuhimu wa Tanzania kuzalisha maziwa kwa wingi, kutatua changamoto zilizopo kwenye sekta ya maziwa na kukuza uzalishaji wa maziwa nchini. Nakushauri...
Una uhakika na unachokisema mkuu? hebu katembelee bodi halafu uhesabu hizo V8 unazozisema, Bodi ya maziwa nje ya nchi wanaenda kufanya nini? ungesema vijijini ningekuelewa! usikurupuke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.