Recent content by HBjoshy

  1. H

    Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

    kosa ulilofanya ni kutelekeza familia yako. kosa ambalo ni moja ya sababu inayopelekea ndoa kuvunjika.
  2. H

    Kanizalisha, ananibana kufanya mambo yangu na hana mpango wa kunioa, Nifanyaje?

    Tega tena hiyo papuchi akupe mtt wa pili ukae utulie make hujui unachokifanya we make ulipotongozwa hukuja hapa kutuomba ushauri wa kumkubalia leo hii yamekufika hapaaaa...unaomba ushauri hahahahhh pole sana...!!!!! Pili, inakuwaje unafanya mapenzi bila condom kwa mtu ambae sio mume wako...
  3. H

    Quran ya wakati wa Mtume SAW

    Dini tumeletewa na wazungu wakiwa walipokuwa wanataka mali ghafi zetu so hakuna haja ya kuanza kubishina sana
Back
Top Bottom