Recent content by HAZINA YETU

  1. H

    USHAURI: Usije UDOM, kama umechaguliwa pale fanya taratibu za uhamisho haraka.

    Nilimwambia mdogo wangu ajifelishe ili tumpeleke chuo kingine, aliandika madudu sana lakini cha ajabu matokeo yanatoka ana GPA ya 4.2,, Acha uongo mkuu hapo UDOM hata ukiamua kufeli hauwezi.
  2. H

    USHAURI: Usije UDOM, kama umechaguliwa pale fanya taratibu za uhamisho haraka.

    Pole sana ndugu yangu, Inaonyesha kuna pesa hukuzipata na bado utazilipa tu bodi.. Hayo matatizo kwa UDOM ni kawaida sana na hakuna anayejali, sio Uongozi, walimu wala serikali ya wanafunzi.
  3. H

    USHAURI: Usije UDOM, kama umechaguliwa pale fanya taratibu za uhamisho haraka.

    UDOM hata kama ukiamua ku disco huwezi ndugu yangu.
  4. H

    USHAURI: Usije UDOM, kama umechaguliwa pale fanya taratibu za uhamisho haraka.

    Mkuu chuo ni cha kimataifa ila uongozi haufai kuongeza hata familia.
  5. H

    USHAURI: Usije UDOM, kama umechaguliwa pale fanya taratibu za uhamisho haraka.

    Umesoma vizuri mkuu?? Tatizo kubwa ni ombwe la kiuongozi ambao hushindwa kufuatilia au kutatua matatizo tajwa hapo juu.
  6. H

    USHAURI: Usije UDOM, kama umechaguliwa pale fanya taratibu za uhamisho haraka.

    Sasa unabisha nini na unakubali nini?? Mara nyingi uongozi wa Udom hawajali kabisa swala la pesa za wanafunzi, huwezi mpa mwanafunzi kilicho bora wakati ana njaa ndio sababu vyuo vingine hutilia mkazo sana swala la mikopo ya wanafunzi wao.
  7. H

    USHAURI: Usije UDOM, kama umechaguliwa pale fanya taratibu za uhamisho haraka.

    Mkuu chuo cha hovyo sana, kuna vyuo vidogo kama ATC, DIT na WDMI vinatoa elimu bora licha ya udogo wao. Hivi ikitokea bodi wanasema hakuna majina yaliyopelekwa kwa ajili ya wanafunzi wa field hapo nani wa kulaumiwa??
  8. H

    USHAURI: Usije UDOM, kama umechaguliwa pale fanya taratibu za uhamisho haraka.

    Poleni sana wadogo zangu na kipindi hiki kigumu kwenu katika kufuatilia mustakabali wa elimu yenu ya chuo kikuu. Ushauri wangu kwenu ni kwamba jitahidini kadri ya uwezo wenu kutafuta elimu bora na sio bora elimu kwani itakua ni msaada mkubwa baada ya wewe kumaliza chuo huku mtaani hata kama...
  9. H

    Karibu upate Masai Sendo kwa bei poa

    Nahitaji mzigo mkuu, ila mbona hapa ubungo tunapata rejareja kwa 10000 hasa Hizo za kiume.
  10. H

    Natafuta smartphone nina 150,000

    Mkuu nina Techno H6 nauza 170,Techno P5 nauza 130 na Huawei Y530 nauza 170,mzigo mpya kama Unahitaji tuma PM
  11. H

    Pata smartphone kwa bei ya kutupa hapa

    Zipo tajwa hapo juu tu, , mzigo bado upo.
  12. H

    Pata smartphone kwa bei ya kutupa hapa

    Sina mkuu kwa sasa ila nikipata nitakujuza.
Back
Top Bottom