Jamani mi na matatizo nilikuwa naomba ushaur nilianzisha mahucano na kihana ambae tulisoma shule moja mpaka sasa nimezaa nae mtoto mmoja yeye alikuwa anasoma huku mfanyakaz alie ajiliwa na ana mke na watoto wawil sasa ananisumbua sama nifanyaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.