Recent content by hauzeeee45

  1. H

    The University of Dodoma (UDOM) yatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo 2024/2025

    UDOM WAMETOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO 2024/2025 ANNOUNCEMENT FOR STUDENTS ADMITTED INTO DIFFERENT STUDY PROGRAMMES AT THE UNIVERSITY OF DODOMA WITH SINGLE ADMISSION FOR THE 2024/2025 ACADEMIC YEAR – FIRST-ROUND ADMISSION The University of Dodoma (UDOM) is pleased...
  2. H

    Kuna vita vimeibuka kati ya mama yangu mzazi na mke wangu

    Msaada Kuna vita vimeibuka kati ya mama yangu mzazi na mke wangu!! Ninafanyaje ndg zangu, ninashindwa kumjadili mamangu kwa kumkosoa mbele ya mke wangu.!! NB: mama anaishi kwake na mimi naishi kwangu na mke wangu
  3. H

    Naombeni Ushauri nimedisco chuo tangu mwaka wa pili na nyumbani wanajua naendelea na masomo na huu ndiyo mwaka wa mwisho

    Mambo wana JamiiForums, Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi naenda home nionekane nimemaliza chuo wakija kuuliza ajira ionekane ajira ni ngumu sijapata. Sasa huu...
  4. H

    PCB siyo tahasusi ya mchezo

    Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4. Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi. Cha...
  5. H

    KERO Responded Tatizo katika uhakiki wa vyeti kwa wanafunzi wanaoomba Mkopo na huduma za RITA kwa ujumla

    ni taasisi ya serikali ambayo ni ya hovyo sana , nina mdgo angu amemaliza form 6 , nikamuhakikia cheti ili apate namba ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa. Nakumbuka ilikua mwezi wa 6 mwaka huu tarehe 1 ,mpaka leo ni tarehe23 mwezi wa 7 na hamna majibu yoyote ,kibaya zaidi ukiwapigia simu simu yao...
  6. H

    Kuna aliyetoka diploma ya afya akapata digrii MUHAS?

    Kuna dogo ana 4.7 ila ananisumbua kwa hoffu kaka sitapata kaka sitapata nikaona nije kuumuulizia huku sema dogo genius kishenz form 4 alipiga 1
  7. H

    Kuna aliyetoka diploma ya afya akapata digrii MUHAS?

    Hivi kuna mtu ashawah kwenda muhas kutoka diploma , mfano course ya nurse na kama alienda alienda na GPA ya ngap?? Embu waliofanikiwa kwenda walete mrejesho ili wawasaidie na wadogo zetu wasikate tamaa
  8. H

    Wanaotoka Diploma kwenda Degree Mathena Physics wanachemka

    Iko wazi chief nilianza kukimbiza 0 levl kuanzia form 2 mpaka nafika 4 nakimbiza na 1 mfululizo karib na mtihan wa taifa nikakumbwa na ttzo la kutokusikia kabisa na kuonaa sionii chiief huwez amin nimemaliza na 2 form 4 hali ya kua toka nipo form 2 sikuwah kupata 2 ni one za 8 na kuendelea then...
  9. H

    Wanaotoka Diploma kwenda Degree Mathena Physics wanachemka

    Nimeomba sahv hapa kupitia messeji yako umenipa confidence mwanangu uzuri form 4 niligonga CBC C MATH,BIOS,CHEM,PHYS
  10. H

    Wanaotoka Diploma kwenda Degree Mathena Physics wanachemka

    Mimi nina 4.7 ila nishakata tamaa kabisaa
  11. H

    Wanaotoka Diploma kwenda Degree Mathena Physics wanachemka

    Wanaotoka diploma kwenda degree muhas wengi form 4 hawakupata matokeo mazuri mathe ,na physic Leo niliamua kupitia waliokuwa selected muhas pale 2022/2023 nimekuta wengi waliotoka diploma kwenda degree matokeo yao ya form 4 wana had 3 wengine wana 2 ambazo mathe na physoce wamefeli vibaya mno...
  12. H

    Nahitaji kusoma MUHAS au UDSM

    Nishaaaply naomba bahati tu iwe upande wangu
Back
Top Bottom