Ndugu zangu watanzania, nawaomba sana kuhusu suala hili la tume ya katiba tujaribu kuwa na uvumilivu wa kisiasa tukishaanza kupandikiza mambo ya udini hatari iliyo mbele yetu itakuwa kubwa sana, tume imeapishwa leo, watoa maoni ni sisi wananchi na waamuzi wa mwisho wa suala hili la katiba ni...