Recent content by Haule jr

  1. H

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Mimi toka mei 5 mpaka sasa sijapata mzigo nikipiga simu namba za posta hawapokei kabisa..nikumuuliza muuzaji anasema wasiliana na wakala wako.. hapo nifanyaje wazee?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Kuna uwezako wa ku unlocked akaunti ebay..maana ya kwangu imefungiwa na nimepata msaada humuhumu jukwaani..mwenye kujua anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom