Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Dannis

JF-Expert Member
Jan 21, 2016
1,435
2,000
habari, mara nyingi nikitaka kununua simu ebay napata ugumu kwa sababu simu nyingi zimeandikwa "without simlock" sasa hapa ndio panapo nipa ugumu bado sielewi wana maana gani?
 

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,601
2,000

Lau_boy7

Member
Sep 28, 2015
21
45
Ndugu zangu na mimi nahtaji msaada hapo jins ya kulink card paypal wanaikataa card yangu ya NMB MASTERCARD nifanye nn au nitmie card gan
 

BDMICHAEL

New Member
Feb 27, 2019
1
95
1. nenda ebay.com kisha register chagua customer au kama wewe ni muuzaji chagua akaunti ya merchant.

2. kujiunga inabidi kadi yako ya benki (visa/mastercard) iwe imesajiliwa kwanza kununua mtandaoni, kisha nenda paypal.com weka details zako na za kadi yako kisha watakutumia verification code (yangu nilichukua crdb) hapo kadi yako itakuwa verified tayari na paypal.

3. nenda sehemu yoyote. wanayokubali paypal nunua chochote, ingiza. detail za paypal, watakata gharama za icho kitu basi umemaliza

very easy
Ni kweli PayPal huwezi kupokea hela ukiwa tz??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,246
1,500
Naomba msaada kwa hili. Je kama nilitumia M-pesa MasterCard kununua bidhaa kule AliExpress na bidhaa haikufika, je naweza kurudishiwa fedha zangu kupitia M-pesa MasterCard? Maana niliona maelezo yao yakisema fedha itarudishwa kupitia kadi iliyotumika kufanya manunuzi. Msaada please.
 

Attachments

i 37

Senior Member
Dec 6, 2018
124
195
Naomba msaada kwa hili. Je kama nilitumia M-pesa MasterCard kununua bidhaa kule AliExpress na bidhaa haikufika, je naweza kurudishiwa fedha zangu kupitia M-pesa MasterCard? Maana niliona maelezo yao yakisema fedha itarudishwa kupitia kadi iliyotumika kufanya manunuzi. Msaada please.
Itarudishwa huko huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom