Wadau hii sijui imekaaje nimeiona kwenye lady jaydee blog kuna mtu alituma hii link: http://www.chicagobreakingnews.com/2009/09/ibrahim-kibayasi-mt-prospect-police-charges-murder-aggravated-battery-rolling-meadows-lutheran-gener.html
Story ndio hiyo hapo chini
Murder charges are...
Mimi kwa mawazo yangu ni kwamba M/Mungu huwa ana makusudi yake kwa kila alichokipanga na kukiweka kwa wanadamu. Sijazaa bado ila nimekuwa nikisikia tu kwamba uchungu unauma. Ila kwa kudra zake M/Mungu baada ya zoezi la kujifungua kumalizika, maumivu yanaisha na mtu anasahau. Na ndio maana most...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.