Hivi wewe umeambiwa na nani kama unaakili wewe mwenyewe, kwasababu ukionacho kwenye sura ya mwenzako ndio ulichonacho wewe. Suluhu ya kwenye meza ni kwa wenye akili wanaoambiwa wakajiambia na kusikia - wewe unaambiwa hatutaki muungano unang'ang'ana musijadili muungano ila katiba tu, ebo! hivi...
Ndugu yangu usiwe na hofu juu ya hili, sisi Wazanzibari tuna-experience ambayo nyie wenzetu wa bongo hamna, Tukipitia chama wasema hawa wanataka kutugawa na kumwambia tendwa wafute na watatusimamisha mara moja. Ila kwenye msikiti nani ataufunga - hayupo na kama wanataka wajaribu tu, wameona...
Amani haitokuwepo kama hujaanza na vita - Hivi kweli kama mwanamke uliye muoa akikwambia kuwa sikutaki tena basi niache, utaendelea kuishi nae - labda kwa wenye vichwa vilivyozidi nyuma - sasa sisi tumesema basi hatutaki tena muungano jamani hebu tuacheni na ki-jinchi chetu, hivi mumeona wapi...
Mie kwa kuongezea ujumbe kwa Mohamed Aboud, hivi wewe wa wapi? inabidi tujiulize - mapinduzi ya mwaka 1964 wewe ulikuwa wapi? inaonesha ulikuwa hujaja zanzibar (unguja na pemba) kweli enhe?
Unanifurahisha sana kutambua kuwa nchi yetu ni ndogo kiasi cha kuidharau, kwanini usiwaambie na wenzako kama JK na wengine wanaoing'ang'ania watuachie sisi tumeridhika na hichi kijinchi chetu tuacheni tubanane wenyewe sasa hatutaki tena kubanwabanwa na watu wenye kutupangia yakufanya......ilhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.