Recent content by Hatima yangu

  1. H

    Simu ya infinix hot 10i ya miezi minne inauzwa kwa 120k

    Simu ya infinix hot 10i iliyotumiwa miezi minne tangu kununuliwa kwake inasukumwa kwa Tsh 120,000/= (Ruksa kuzungumza) Simu haina Crack hata kidogo. Tatizo lake ni sauti kuwa chini unaposikiliza muziki, lakini kwenye mazungumzo haina shida. Ni nzuri kupita maelezo, inatunza chaji Battery: 6000...
  2. H

    Napitia kipindi kigumu sana wana JF. Nahitaji msaada wenu

    Napitia magumu kaka[emoji24][emoji24]
  3. H

    Napitia kipindi kigumu sana wana JF. Nahitaji msaada wenu

    Naomba kujitambulisha Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 22 kutokea mkoani Mwanza. Kwa sasa ninaishi Manzese jijini Dar es salaam. Elimu yangu ni kidato cha sita. Sina familia na wala sijawahi wazia kutokana na ugumu wa kimaisha nilionao pamoja na kukosa uelekeo wa maisha yangu Niko...
Back
Top Bottom