wewe mpungufu wa mawazo unashindanda mpaka na financial magerzine mbalimbali duniani zinakomet kama wrong project hiyo cake inataka kuliwa na wachahe tu
KWA NINI WANANCHI WA KUSINI WANAPINGA GESI ISITOKE
Kupinga gesi isitoke mtwara kwanza ieleweke,wanaopinga si wananchi wa mtwara pekee yao bali ni wananchi wote wa mikoa ya kusini kwa sababu zifuatazo
1. Mkataba mzima wa mradi huu, mpaka sasa si viongozi wa kusini tu inavyoonekana...
na wewe prof una percent katika huu mradi
Popote duniani palipokuwa na miradi ya pipe ya ges kwanza wananchi lazima wapew elimu ya kutosha kabla mradi haujaanza,swala la likage ktk pipe ya gas ni kawaida,wanannchi wanaozungukwa na mradi kwanza lazima wajue kukiwa na likage wanapata halufu...
KWA NINI WANANCHI WA KUSINI WANAPINGA GESI ISITOKE Kupinga gesi isitoke mtwara kwanza ieleweke,wanaopinga si wananchi wa mtwara pekee yao bali ni wananchi wote wa mikoa ya kusini kwa sababu zifuatazo
1. Mkataba mzima wa mradi huu, mpaka sasa si viongozi wa kusini tu inavyoonekana hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.