Recent content by Hata najua basi

  1. Hata najua basi

    Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

    Maji malefu utazama kijana lala sasa
  2. Hata najua basi

    Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

    Naomba ufunguliwe pm una react kicheko wallah wewe ni mtoto idd hufaidi mpka siku ya idd I'm tired ku fight kwa ajili yako 🙌 Mbaga Jr
  3. Hata najua basi

    Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

    Nawe pia darling usiku mwema Lala unono Ombi: fungua PM kijana wawatu anategemewa asante🙏
  4. Hata najua basi

    Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

    Aandike baruwa kwa mkono kuthibitisha yupo serious
  5. Hata najua basi

    Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

    Legea basi unakaza kama enz za chato now tupo unguja alooo nachoka sana
  6. Hata najua basi

    Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

    Unaambiwa upitie kwangu unaleta dharau haupo serious mi nalala
  7. Hata najua basi

    Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

    Naapa shemeji siku semi tena vibaya From today your shemelaaaa✅️
  8. Hata najua basi

    Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

    Tulia kijana Mie mlevi huniwezi😎
  9. Hata najua basi

    JamiiForums Usiku wa manane

    InshaAllah
  10. Hata najua basi

    Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

    Hajatuma chochote Si ananiona mlevi We mwache Sina msaada nae
Back
Top Bottom