Recent content by Hasson Da Melles

  1. H

    Bodi ya Mkopo!!!!

    Hivi kweli Mtu upo Serious Unasubiri Mkopo!!!!!!!???? Ha ha ha ha ha Mmetapeliwaaaaaaa na www.heslb.go.tz
  2. H

    we acha Kujipanga Baki ukisuBiria HESLB!!!

    kuna wengi haswa wale wanao waficha wazazi wao kuhusu HESLB wakidhani Mkopo ni Obligatory kwa Kila Mwanafunzi.... Basi wazazi wao hela hufanyia mambo Mengine Bila Kujua Requirements za Chuo si Kama Secondary!!!! mfano Advance na O level Matibabu ni 10,000 Balaa la Chuo Matibabu ni 100,000...
  3. H

    Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

    Embu acheni Sasa Ku Update hii Post... Mwisho Leo... msimamo wangu IFM =Institute of Failure Management
  4. H

    Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

    Harvard ya Baba ako??? Kila Mtu anajua Kutukana ...Sa Mi harvad Ya Nini....
  5. H

    Maprofessa wa Vyuoni Sijui wakoje!!!

    mi Napiga simu Naongea Kiswahili Lenyewe linanijibu Kiingereza ... na mimi Kwa Makusudi Nimemnyooshea Kiswahili kwa Muda wa Dakika Kama 15 hivi... ikabidi aamue Kuongea Kiswahili ha ha ha ha ha Hapa ndio Aliniacha Hoi """Wewe Kijana Mimi ni Proffesa nalipwa Mamilioni nina Nyumba Egypt""""...
  6. H

    TCU na CHUO hi ni nini tena!!!!!!!!!!!!!

    mImi imenitokea....Cha Msingi nenda Kwenye website ya Chuo Ulichochaguliwa then tafuta Contact za Admistration au Dean of faculity Mapema.. mi NimefanyaHivyo NaNikasaidiwa!!!
  7. H

    Wanachuo Watarajiwa Hii Ni Yenu + HESLB

    haya Sasa Mi Ndiyo nimeweka hizi Pumba... naomba Ziishie Hapa..na Hii Post ni Ya Mwisho!!! Let Discuss other Things...ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!
  8. H

    Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    so Ni Serious Programmae!!! kama ni Kweli sasa Hiyo 3 years Ya Chuoni Kuna Kusalimika!!!
  9. H

    Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    hivi Ni kweli au nistory tu za Mitaani... nNimeskia eti Huwa Kunampango Kila Mwaka Mademu wenye VVU husambazwa Vyuoni !!!! Mwenye Facts afunguke!!! ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!
  10. H

    Haya wale wa BUKOBA na SONGEA matawi ya SAUT

    yap Soma Joining Instruction ya SAUT utakuta NB:all selected applicants who are in the Following Courses i.e Law BA Education and Socialogy will be transfered at any brunch of SAUT ie Songea Bukoba Mtwara ...the Transaction done By Saut Not TCU.. kama umeandikiwa MC basi unatakiwa Tar 14...
Back
Top Bottom