Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 523
- 525
Hv brother kama umeandikiwa SAUT/MC kuna possibility ya kufika mwanza then ukapangwa hz new branch za saut?

yap Soma Joining Instruction ya SAUT
utakuta NB:all selected applicants who are in the Following Courses i.e Law BA Education and Socialogy will be transfered at any brunch of SAUT ie Songea Bukoba Mtwara ...the Transaction done By Saut Not TCU..
kama umeandikiwa MC basi unatakiwa Tar 14 sept Uwahi au Vinginevyo Utasambazwa watakapo Ha Ha ha ha ha h hA!!!
Hatuoni kwenye sim mkuu huku kwetu computer adim sana naomba msaada wako tawi la bukoba
yap Soma Joining Instruction ya SAUT
utakuta NB:all selected applicants who are in the Following Courses i.e Law BA Education and Socialogy will be transfered at any brunch of SAUT ie Songea Bukoba Mtwara ...the Transaction done By Saut Not TCU..
kama umeandikiwa MC basi unatakiwa Tar 14 sept Uwahi au Vinginevyo Utasambazwa watakapo Ha Ha ha ha ha h hA!!!
Kama umeandikiwa MC wewe ni wa mwanza centre hakuna cha kusema kuwa utapangiwa tawi liwalo lote. Hongera.
Wakuu shuklani kwa msaada na MUNGU awabariki