Recent content by hasson da Melles II

  1. hasson da Melles II

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    hakuna kiumbe kisichopenda raha, kazi ya upolisi humnyima mtu kujichanganya na jamii yake ... ndio maana mmetengewa maeneo yenu binafsi kama vile KILWA ROAD, mara utaskia Qarters za ........ ,,, eti usije kwa kukosa kazi ..... wengi wanakuja huko kujibanza tu. siji huko mpaka mbadilike na...
  2. hasson da Melles II

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    kila mtu ajue kuwa maisha yake yote mafanikio ni juhudi zake binafsi.... kuzungusha bahasha , kutafuta mbinu za kujiajiri na kupata kazi au kutopata ni juhudi za mtu mwenyewe. maisha hayana formula , cha msingi ni kuangalia mbele na kujituma.... kuna mifano mingi tu ya kuingwa katika jamii yetu...
Back
Top Bottom