Recent content by Hassankimwaga739

  1. H

    Utitiri wa Kadi: Kwanini tusiwe na Kadi Moja ya Huduma za Usafiri inayoweza kutumika kwenye maeneo yote?

    BISMILLAH. Al-hamdulillah 🙏. Namshukuru Mwenyezi mungu. Kwa Kukutana na Mjadara Huu. Maana ni mda mlefu. Naweza sana. Juu ya hili swala la kuwa na Card za malipo hasa katika mifumo ya kibiashara hususani Kuuza na kununua. Malipo mfano ya Vipando,viwanja. Nk. Maana khofu Ipo pale Mtu Akirundika...
  2. H

    JamiiForums yaendesha mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya Habari

    Al-hamdulillah 🙏. Mwenyezi mungu Awe pamoja Nanyi JF. Inshallah 🙏
  3. H

    Kutoroka kwa Wafungwa, mapya yaibuka

    Mmoja atasimama na sisi. Mungu Atatusimamia wote wasio na hatia. Ngoja tuwaache Washindane na Mungu. Majibu watapata
  4. H

    Kutoroka kwa Wafungwa, mapya yaibuka

    Hizi ni Tamaa za Fisi. Zitawaponza hao Maafisa. Waliohisika na tukio la kuwatorosha hao wafungwa 13.
  5. H

    Yanayojiri kesi ya "Binti wa Yombo": Daktari aliyempima Binti aliyebakwa na Maafisa wa Jeshi atoa ushahidi Mahakamani

    Hii kesi mbona ngumu. Hata jiwe halifati hapo. Yani hata khofu ya Mungu 🙏 kweli Tumekosa?
Back
Top Bottom