Recent content by Hassanitoz

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya Ajira Mpya za Walimu 2015

    Dah Hii Ndio Imeniokoa Jina Langu Lipo Nashkuru Mungu Nimepangwa... Karibun Bagamoyo
  2. H

    JamiiForums Tanzania Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

    Sidhan Kama Yatatoka Tena
  3. H

    JamiiForums Tanzania Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

    Hatimaye Majina Ya Ajira Za Ualimu Ngazi Ya Cheti,shahada Na Stashahada Yametolewa Jana Kwa Awamu Ya 3 Katika Tuvuti Ya Tamisemi..
  4. H

    JamiiForums Tanzania Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

    Habari Zilizonifikia Kutoka Makao Makuu Dodoma Ni Kwamba Walimu Walioenda Kulalamika Wameambiwa Kutakuwa Na Awamu Ya Tatu.. Ndan Ya Wiki Hii
  5. H

    JamiiForums Tanzania Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

    Usiseme Hvyo Kwa Sbb Ww Umepata Kama Ingelikuwa Ni Wewe Alafu M2 Ametoa Kauli Hyo Ungefanyaje?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

    Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili Walifurika Leo Makao Makuu Tamisemi Dodoma Na Katika Tawi La Tamisemi Daresalaam Wakilalamika Kuachwa Kwa Mara Ya Pili Tena.. Unadhani Nini Tatizo? Au Kutakuwa Na Awamu Ya Tatu?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ajira ualimu awamu ya pili kutolewa tarehe 20

    Doh Lazma Kieleweke Tu. Wa2 Tumeenda Jkt Kuumia Alaf Ajira Wame2sahau?
Back
Top Bottom