Unaweza chagua class mate lakini hujawahi kaa nae so kikubwa tu be careful kuna classmate wengine kwa kumuangalia tu yupo poa ila kaa nae ndio utajua yupoje. Kuwa makini.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Nadhani watu hawajaelewa vizuri. Gay people wana haki za kijamii na si kuwa na haki zote kama watu wengine they should have a limit to some issues. Coz ukiangalia kisiasa unaweza kuelewa tofauti. Lakini ukija katika upande wa pili kila nchi ina katika yake kuhusu hawa watu. But before God haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.