Habari ndugu zangu natumaini wote wazima!
Nina imani humu kuna wafanya kazi mbalimbali, viwandani, Makampuni nakadhalika. Naombeni msaada natafuta kazi ya aina yeyote hata kiwandani ni vizuri.
Nina umri wa miaka 23, Elimu yangu ni kidato cha 4 naishi Dar es salaam.
No. 0713012931.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.