Recent content by hasan said

  1. H

    Baba Lowassa, Sumaye na babu Kingunge sheria ni msumeno

    Ushauri wa bure kwa wana Ukawa na Ccm uchaguzi wa 2020 jaribuni kufunga cctv camera sehemu zote zinazojumlishwa matokeo ili wale wanaosubilia matokeo nje ya sehemu hizo wapate kuangalia live kwenye runiha hapohapo hii itasaidia kuondoa utata wa kile kinachoendelea huko ndani
  2. H

    Naomba mnijuze kidogo wakuu

    Any way unaweza kutafuta fundi akakuwekea kifaa ukatumia DC tu
  3. H

    Naomba mnijuze kidogo wakuu

    Dvd zipo ila kwa playstation sijajua
  4. H

    Naomba mnijuze kidogo wakuu

    Unaweza kuconect vyote tu ila uwe na play station au dvd inayotumia DC pia
Back
Top Bottom