Recent content by Haruni

  1. H

    JamiiForums Tanzania Bora kumkimbiza Rais nchi nzima kuliko Mwenge

    nakubaliana nawe ila hadi amalize vijiji vyote atakuwa kazi zingine hafanyi.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania excluded from EAC joint communique

    Hili si la kuchekea hata kidogo. Ni tatizo kubwa kubwa sana.Kutengwa na ndugu zako halafu useme nina kwangu bwana ni ivivu wa kufikiri zaidi. Kupanga ni kuchagua.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Museveni kusuluhisha mgogoro kati ya Tanzania na Rwanda

    Mimi siamini kama YM anaweza akagawa haki kati yao nasi kwani inajionyesha wazi mahusiano kati ya PK na YM wanakubaliana zaidi ya YM na JK. Kumekuwa na kauli za kejeli toka kwa YM juu ya uongozi wa Tz; tukumbuke pia political and economic interest za PK na YM zinafanana sana. JK angemtumia Rais...
Back
Top Bottom