Hapo nakumbuka maneno ya Muheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza alipokuwa anazungumzia tukio la kukamatwa dhahabu, aliwaambia askari kuwa Mimi najua sana kitakachotokea hapo,siku ya watuhumiwa kufikishwa mahakamani badala ya fedha yapelekwe makaratasi ,badala ya dhahabu upelekwe udongo.
Hakuna kupatana hapo, suluhisho ya hao ni kuwaondoa kuwahamisha au kuwaondoa madarakani,kiukweli sehemu za kazi kuna watu wapo kwa ajili ya kuwajera wenzao tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.