Nilichokiangalia kwa Watanzania tulio wengi bado hatujawa serious sana na mambo yetu, lakini pia nimegundua kwamba waTanzania sisi sote hatujui tunataka nini na tunaelekea wapi.
Sikuwahi fikiria kama watanzania wenye akili timamu na wasomi kama wangekuja kuonyesha support ya kumpa ungozi...
Mkuu
Mkuu moja ya miradi yangu ni kufuga kuku hivyo kuwekeza kwa Mr. Kuku hakunifanyi nikaendelea kujitanua kiuzoefu na kukuza soko. Mr Kuku huenda akawa temporary but maisha yanatakiwa kuendelea..Nadhan kwa mm kutanua mradi wangu wa kuku ni sahihi zaidi.
Ushauri wako ni mzuri nitafuatilia...
Mkuu nashukuru kwa wazo zuri..Suala la mtu kunambia nimfate PM siyo rahisi naelewa na ndo mana nikaleta mada hapa hadharani..Shukrani sana mkuu kwa mawazo nitayafanyia kazi
Hii kanda ya ziwa inasifika sana kwa biashara za nafaka na sijawahi fika huko..nimetenga mda wa kufanya research ya mikoa..hivyo nitafika kuona hali ipoje lakin hili wazo la biashara ya kuuza nafaka ni wazo ambalo skuwa nalo..
Lakini kupitia wadau wangu wa nguvu humu ndani nimeanza kuona ukuu...
Mkuu hongera sana kwanza kwa hizo hatua ulizozichukua kwani ni moja ya hatua nzuri sana...
Kwakuwa umenipa kama wazo itabidi nikae kulifanyia kazi hili ili nione kama linawezekana...Mimi ni miongoni mwa wale wanaoamini Kuwa Ajira ni mtaji..hivyo imenisaidia kupata mtaji basi nikaona nikafie huko...
Kwanza nikushukuri sana kwa kwa kunipa uzi wenye kunipanua mawazo zaidi..Naomba nikaupitie huo uzi then nitarudi kwako....
Kuhusu watoto wazuri na smart kaka siyo Jokes,, aiseee kwa biashara zinazohitaji issue ya marketing hao ni Muhimu hivyo pia umetoa mbinu mbadala ya ku catch minds za wateja..
Wazo zuri sana...Lakin mkuu lengo ni kufikia uchumi wa kati au juu kabisa kwani kubaki kazini siyo suluhisho la umaskini wangu. Nilitaman sana nitumie wazo kama lako lakin najua unaelewa watumishi wa umma vile huwa wanapata vikwazo vingi pale wanapokuwa wakijaribu kujikwamua.
Kiukweli hata...
Nimekuelewa vizuri mkuu japo huwa wana vigezo vya hiyo likizo, Ndo mana kwenye Mada yangu nimesema kuna vikwazo na kero zinazofanya niweze kujitegemea mwenyew hivyo kuna shida kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.