lowasa kichwaaa balaaa!!!kwanza anajiamini halaf anajua anachokifanya na anakubaliana na hali halisi ispokua anajilimbikizia mali sana hapo kwenye ufisadi tuu ndio kamshinda pindaa:mad:
hakuna anaejua ukweli juu ya hili zaidi ya hao waliolifanya,na jeshi la polisi hawawezi kuibua ukweli juu ya hili maana na wao ni binaadam na wanakosew so cha msingi ni kutafuta njia rahisi ya kuvumbua ukweli maana hata mimi siliamini hili jeshi la polisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.