Recent content by harmony designer

  1. harmony designer

    JamiiForums Msaada: Nisome kozi gani kwa ufaulu huu?

    Nashukuru sana ndugu yangu
  2. harmony designer

    JamiiForums Msaada: Nisome kozi gani kwa ufaulu huu?

    Ninachofikilia kwa kipindi hiki ni kupata kazi nzuri kutokana na kozi ntakayopitia ndipo ntaangalia nifate ndoto zngu kwa njia gan kwasababu nitakuwa tayal nishaanza kutengeneza msingi wa maisha
  3. harmony designer

    JamiiForums Msaada: Nisome kozi gani kwa ufaulu huu?

    Ndy ila physics na chemistry nmepata F
  4. harmony designer

    JamiiForums Msaada: Nisome kozi gani kwa ufaulu huu?

    Mimi ni mwanafunzi niliehitimu kidato cha nne mwaka 2017 lakini nmeshindwa kuendelea na kidato cha tano kutokana na ufaulu wangu ivo basi nahitaji msaada wa mawazo ni kozi gani ni nzuri ili niendelee na chuo kwa ufauru wangu wa maths-D, Bios-D,Geography-D,English-C,history-D,kiswahili-D,civics-D
Back
Top Bottom