1.Haki za kidigitali ni haki za kibinadamu.
1.1. Haki ya mtandao
Kila mtanzania ana haki ya mtandao kupata mtandao kwa gharama nafuu.
Kuongezeka kwa gharama za data na ukosefu mzuri wa mtandao umekuwa changamoto katika nyanja mbalimbali. Kwani haki ya kimtandao wananchi wanashindwa kuitumia...
Sijawahi kata tamaa katika maisha ya utafutaji.
Habari zenu wana jukwa hili.
Natumaini mnaendelea vizuri na Pole sana kwa wale ambao wanajisikia vibaya kiafya.
Jina la naitwa Neema Lusekelo.Ni mkazi wa jijini Dar es salaam. Nilizaliwa katika mkoa wa Arusha wilaya ya Monduli kata ya kosovo...
Ahsante ,nakaribu sana ,kampuni yetu inatambulika kisheria!pia kwa usalama wapesa yako tuko namikataba yakisheria na pia mteja anaweza kuja namwanasheria wake au mtu yeyote atakayemuamini yeye,watasaini mikataba na kuondoka nayo na sisi tutabaki na copy.
Naomba nitext wasap ili tuongee zaidi...
Karibu KIMOMWE MOTORS LTD tukuagizie gari kutoka Japan na sehemu mbalimbali ,kwa bei nafuu kwa muda muafaka.
Tupo magomeni mapipa mkabala na kituo cha mwendokasi ,jengo la Rubeya gorofa ya kwanza.
Simu 0753438466
Sent using Jamii Forums mobile app
Cif ya nissan xtrail 2005 zilizopo kwenye stock zinaanzia dollar 2400 wakati fob 920
So zitatofautiana kutoka gari moja kwenda jingine kulingana navigezo mbalimbali.
Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushuru wa gari nissan xtrail 2005 yenye cc 1990 ni tsh 6,252,541
Ila hiyo usd 1000,ni fob hakuna nissan ya mwaka huo uliotaja ikafika dar kwa dollar hiyo.
Angalia cif yake ndio tupate kujua itakufikia mkononi kwangapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaagiza kwa wateja mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali,akija anayeongea kiswahili tunamuhudumia ,akija mteja wa kiingereza tunamuhudumia!
Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu KIMOMWE MOTORS LTD tukuagizie gari kutoka nchi mbali mbali kama Japan,Dubai,Uingereza na Singapore.
Gari huchukua siku 30 kufika dar bandarini.
Gharama za gari ndogo ni tsh 400,000tu na gari kubwa tsh 500,000 tu.
Ofisi zipo magomeni mapipa mkabala na kituo cha mwendokasi jengo la Rubeya...
Habari,naomba kujua hiyo ni gari gani?maana kwenye tra lazima uandike aina ya gari?
Gari ya dollar 1500,ningumu kidg
Labda hapa kuna toyota duet ya dollar 1,612,yenye 980cc,2003.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.