Recent content by harakati nyeusi

  1. H

    JamiiForums Tanzania Secondary Schools Bora

    shule bora atachaguliwa na sio wewe kumtafutia shule uyo chalii wako,unless uwe unamtafutia private schools
  2. H

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu masters degree

    yani we jamaa unafurahisha sana,yan mpaka una bachela yako safiii ujui chuo gani kizuri kwa field yako?ivi uko serious kweli au unazingua tu?ok kwa kukusaidia tu atleast fanya MZUMBE UNIVERSITY ada zao ziko chini pia....ila kama unataka kuwa mkalina kuuzika kafanye MBA UDSM...ni mtazamo tu
  3. H

    JamiiForums Tanzania ACCOUNTANCY v/s PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT.

    Account iko safii,kwa coz iz za business studies a/c ndo baba lao inafata finance
  4. H

    JamiiForums Tanzania Marketing v/s accounting

    Account iko safiiiiii
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ni shule tanzania imetoa maprofesa wengi zaidi

    People usually going University(PUGU)
  6. H

    JamiiForums Tanzania Marketing v/s accounting

    Accounting is better rather than Marketing,ijapokua accounting ni complicated
  7. H

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kwa mwenye bachelor ya elimu kusoma post graduate diploma in accountancy hasa SAUT?

    kaka CPA we haikuhusu kwa coz iyo unayosoma,CPA ni kwa ajili ya wanaosoma Bcom/Accounting Advanced diploma in Accounts and other business studies kama BCOM-FINANCE na BBA ila hawa wanaanzia module C ila ukisoma bcom accountng,,BAF,au ADA unafanya module mbili tu ambayo ni E &F
  8. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kat ya EGM na CBG ipi mnanishauri nikaisome a-level?

    EGm iko safiii sana,piga iyo ufurahie maisha dogo
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kati ya CBE,T.I.A na IAA ni chuo kipi kinaongoza kwa kutoa wahitimu bora wa fani ya ugavi?

    Kote ni kuzuri ila TIA ni kuzuri zaidi,hata matokeo yaliyopita ya CSP wamefanya vizuri sana,nilisoma walaka wa bod ya wagavi nikaona iyo kitu miez kama mitatu iliyopita,kwaiyo mi nakushauri nenda TIA
Back
Top Bottom