Recent content by HARAKATI 4EVER

  1. H

    JamiiForums Ushauri: Natishiwa kuuliwa na wazazi wa mke wangu kisa dini

    Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 30 ninaishi na mwanamke aliyekuwa mchumba wangu kwa kipindi cha miaka mitatu katika kipindi hicho mchumba wangu alijaribu kunitambilisha kwao wakakataa kisa dini tofauti. Na ilipofika Oktoba mwaka jana mchumba alichukua uamuzi wakuja kuishi na mimi bila...
  2. H

    JamiiForums Dr. Mengi awang'ang'ania Zitto na Rweyemamu kuhusu kitisho cha uhai wa maisha yake

    Atoe kihelehele chake mengi nae amezidi kila siku yeye au kwakuwa anamiliki chombo cha habari mbona hatuwaoni akina bakhresa au dialo yeye tu ndomuhimu aaah tumemchoka
  3. H

    JamiiForums Kumekucha CCM: Vigezo vya Mgombea wa Urais hivi hapa

    Hakuna jipya
  4. H

    JamiiForums Kumekucha CCM: Vigezo vya Mgombea wa Urais hivi hapa

    hIZO MBWEMBWE TU HAKUNA CHOCHOTE KILA MWAKA HAKUNA JIPYA HATA KICHAA ATAPITA
  5. H

    JamiiForums Hii imekaaje? Mzanzibari kugombea Bara sawa, mbara kugombea Visiwani nongwa...

    Wazanzibari walishatuona tunawaogopa hivo wanafanya na kupanga wanavotaka sisi nikama mazuzu kwao
  6. H

    JamiiForums Zitto awajibu CHADEMA juu ya fedha za ziara za ACT- Wazalendo mikoani

    mwacheni Zitto ajenge chama nani aliwatuma mumfukuze mtakoma
Back
Top Bottom