Recent content by Happyness Nkya

  1. H

    Maswali ya Maendeleo ya Jamii

    Naskia hua wanarudia ata mawili
  2. H

    Maswali ya Maendeleo ya Jamii

    Naomba tukumbushane tafadhali
  3. H

    Maswali ya Maendeleo ya Jamii

    Jamani kwa anaeyakumbuka vizuri maswali ya maendeleo ya jamii pale mwl nyerere tukumbushane tafadhali..
  4. H

    Nimeitwa interview utumishi

    Nuru me papy chulo ndio napataje no yako?
  5. H

    Nimeitwa interview utumishi

    Naombeni majibu kwa aliefanya interview plz
  6. H

    Nimeitwa interview utumishi

    Wadau nmeitwa interview utumishi kama afisa maendeleo ya jamii na afisa maendeleo ya vijana kwa aluefanya naomba possible qns kwa oral na written
  7. H

    Interview za CBA Zinakuwaje?

    Habarini za jioni wadau. Naomba kwa yeyote aliewahi kufanya interview na Commercial Bank of Africa interview zao zinakuaje? Nimepigiwa simu usiku huu kesho saa 4 niwe nimefika kwa interview.
  8. H

    Nimeitwa Interview NMB

    Tuambie ata maswali gani umeulizwa jana..sisi pia tunangoja kuitwa
  9. H

    Nimeitwa Interview NMB

    Ilikuaje written?aina ya maswali uliyoulizwa?
  10. H

    Nimeitwa Interview NMB

    Zone gani umeitwa?unatakiwa uifaham NMB na huduma zake zote
  11. H

    Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Hyo ni oral au kwenye written
  12. H

    Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Barua uisign wewe mm nlipewa hyo barua na mtu wa nmb imeandkwa cover letter iwe duly signed
  13. H

    Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Wapi arusha au?bado bwana
  14. H

    Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Jamani interview za nmb hua zinakuaje?written inakuaje na oral inakuaje?
Back
Top Bottom