Recent content by Happy warrior

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya IMF (2025): Tanzania Miongoni Mwa Nchi 10 za Afrika Zenye Deni Kubwa la IMF

    Muwe mnajuelimisha kwanza jamani siyo lazima uchangie kila mada.kwenye hili angalia kwanza 'current exchange rate' ili uchangie kiuelevu zaidi
  2. H

    JamiiForums Tanzania Poleni sana Tume ya Taifa ya Uchaguzi: Polepole amekuja kututhibitishia tu kwa nini Viongozi wa CCM wamekuwa na kiburi cha Uchaguzi

    Ukisikia mtu anaitwa kaili...,kapili...ujue uwepo wa Mungu kwao haupo.kuna shida mbele inakuja
  3. H

    JamiiForums Tanzania Polepole amuache Samia naye atembelee V8. Kila mtu na wakati wake

    Mtibel kwa hapa mnataka kuteleza pz.Tangu lini watibel mkajadili mtu badala ya alichokisema.Hata shetani alikuwa malaika na kinyume chake.Tuchukue contents tafadhali.Askofu phd Bagonza kasema hakuna toba iliyochelewa.Na ndivyo ilivyo.Novena njema
  4. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    Kama ni kweli tulisema humu ki 'demografia' haiwezekani population ya watu 62m itoe wapiga kura 37m.Na jamaa kwa ujinga ujinga ( siyo ujanja ujanja) walienda mbele zaidi kwamba server isiwe accesible na yeyote isipokuwa wao.Na ili kuhalalisha hata wakitokea wasiorodhika na matokea hakuna kuhoji...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Idadi ya mashahidi ni 30 vielelezo ni 9

    Kama hata kwa akili hizo 3 huwezi kuelewa?.basi pole.Si juu yako.Something wrong from your geneses
  6. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 2025 Timinga ya Tanzania ku experience uongozi wa Chama tofauti

    Logically kwa walio timamu unatakiwa ubaki kwenye sera bora zenye kuonyesha matumaini bila kujali tawala au pinzani
  7. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 James: Mlitaka Mbowe aseme nini wakati wajibu wake alishaamaliza

    Like father like son
  8. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Mzee Wassira anawataka sana CHADEMA warudi kwenye meza ya maridhiano na kushiriki Uchaguzi Mkuu?

    Waache watu timamu na wenye hofu ya Mungu wajadili.
  9. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi wanaCCM mnaelewa madhara ya mabadiliko madogo ya katiba yenu mlioyapitisha leo?

    Huu upuuzi wa 'atakavyoona inafaa,vinginevyo nk' ndivyo vimejaa kwenye katiba yetu ya Taifa na kutoa mwanya kwa baadhi ya viongozi kufanya kadri wanavyoona inafaa au vinginevyo (badala ya kwa mujibu wa sheria) bila mipaka inayoonekana kwa manufaa yao na vikundi lakini kwa gharama ya wananchi na...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Natangaza kutoa zawadi ya $5000 kwa mtu atakaenionyesha picha ya Samia akichukua fomu ya kugombea urais CCM

    Mutungi wa msajili upo wapi haya yanapotokea tena kwa chama kiongozi ?????!!
  11. H

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Wajumbe kupindua Meza ya Genge la Samia, imewafanya Waitishe Mkutano mitandaoni ili kurekebisha Katiba Imfae Samia na Genge lake !

    Mkutano mkuu kwenye mtandao,kweli!?.haya tuone msajili atakuwa na uhakika gani wa akidi ya wajumbe na ushiriki wao kikamilifu!?.Maana 'if serious' asije akazua la kuzua dk za jioni.'If not' kwa nini awepo ofisini.kama anavyojitanabaisha kazi zake ni pamoja kujiridhisha demokrasia inazingatiwa...
Back
Top Bottom