Asanten kwa Ushauli, nasema mchumba wangu ,kwanza ameshatoa mahali,na pili ndoa yetu ni tarehe 20 November natayali vikao vinakaliwa, Zamani ktk uchumba wetu alikuwa anapenda tuchati kila wkt kwa njia ya msg, na ukikaa kimya kidog anakuuliza mbona kimya unafanya nn,au akipiga sim ikiita mala...