Recent content by Happinessmassagetz

  1. Happinessmassagetz

    Wanahitajika wataalamu wa Massage

    Habari! Wanahitajika wataalamu wa Massage ambao wana ufahamu wa massage na wanaweza kutoa huduma hiyo kwa watu kwa ajili ya kuboresha afya zao. Sifa za Wataalamu wa Massage wanaohitajika Awe amesomea Massage (Certificate au Diploma) Awe na uzoefu wa kutoa huduma za Massage Awe ni mwanamke Awe...
  2. Happinessmassagetz

    Faida 20 za Massage Katika Mwili

    1 Massage inaboresha afya ya ngozi. 2.Massage hufungua mishipa ya fahamu na kuongeza uwezo wa kufikiri. 3. Massage husafisha ngozi na kuboresha mfumo wa utoaji takamwili. 4. Massage Inaondoa kovu la jeraha. 5. Massage husaidia kupona kwa wenye mivunjiko ya viungo/ mifupa. 6. Massage huondoa...
  3. Happinessmassagetz

    Faida za Hot Towel Katika Mwili

    1. Kichwani: Inafungua vinyweleo na kuondoa sumu zillizohifadhiwa, pia inaboresha mzunguko wa damu na Ukuaji wa Nywele. 2. Usoni: Inafungua vinyweleo na kuifanya ngozi kuwa nyororo. 3. Katika Macho: Huweka sawa misuli inayozunguka eneo la macho ( rectus & oblique muscles.) 4. Katika Shingo...
  4. Happinessmassagetz

    Athari za Maumivu Makali ya Mgongo

    Athari za Maumivu Makali ya Mgongo Watu wengi huchukulia Tatizo La Maumivu Ya Mgongo kama jambo la kawaida na hawafahamu kuwa linaweza kupelekea matatizo makubwa katika mwili. Tatizo la mgongo likiachwa kwa muda mrefu linaweza kupelekea:- 1.Ulemavu: Mtu anakuwa hana tena uwezo wa kusimama...
  5. Happinessmassagetz

    Faida za Hot Massage Katika Mwili

    1. Kichwani: Inafungua vinyweleo na kuondoa sumu zillizohifadhiwa, pia inaboresha mzunguko wa damu na Ukuaji wa Nywele. 2. Usoni: Inafungua vinyweleo na kuifanya ngozi kuwa nyororo. 3. Katika Macho: Huweka sawa misuli inayozunguka eneo la macho ( rectus & oblique muscles.) 4. Katika Shingo...
  6. Happinessmassagetz

    Faida za massage katika kuboresha mifupa

    Faida za Massage katika Mifupa Massage ina faida nyingi katika kuboresha afya ya mifupa. Mifupa ni tishu muhimu sana katika miili yetu, kwani mifupa huunda kiunzi ambacho:- i. Huupa mwili umbo lake. ii. Kiunzi kikishirikiana na misuli hutoa msaada/nyenzo ya kuuwezesha mwili kuwa katika mikao...
  7. Happinessmassagetz

    Fanya massage leo uboreshe afya yako

    Full body massage 50,000 Relaxation Massage 100,000 Deep tissue massage 80,000 Chinese foot massage 30,000 . Tuna products zinazotibu na kumaliza kabisa matatizo ya ngozi kama vile mba, miwasho susugu na mapunye.
  8. Happinessmassagetz

    Biashara ya Massage Tanzania

    Je biashara ya Massage tz ni kweli ina kwa mishwa na wasio kuwa na taaluma ya Massage??
  9. Happinessmassagetz

    Massage Katika Mwili

    JE, WAJUA? Massage inaondoa Uchovu na Maumivu ya Viungo. Massage huimarisha afya ya misuli na ngozi. Massage huondoa maumivu ya mgongo. Massage huondoa msongo wa mawazo. Massage huboresha mzunguko wa damu mwilini.
  10. Happinessmassagetz

    Massage Katika Mwili

    JE, WAJUA? Massage inaondoa Uchovu na Maumivu ya Viungo. Massage huimarisha afya ya misuli na ngozi. Massage huondoa maumivu ya mgongo. Massage huondoa msongo wa mawazo. Massage huboresha mzunguko wa damu mwilini.
  11. Happinessmassagetz

    Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Sababu za Maumivu ya Mgongo Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kusababisha maumivu ya mgongo 1. Maambukizi katika pingili za uti wa mgongo: Maambukizi katika pingili za uti wa mgongo kama vile maambukizi ya saratani ya mifupa huweza kuleta maumivu makali ya mgongo. 2. Kuvunjika kwa pingili...
  12. Happinessmassagetz

    Massage ya Bure dk 15 Kwa wenye matatizo ya Mgongo

    Happiness Massage inatoa huduma ya Massage kwa dakika 15 bure kwa Watu wenye matatizo ya mgongo. Weka taarifa zako hapa ili ufahamishwe utaratibu wa kufika. Happiness Massage, Lamada Hotel, Ilala Dar Es Salaam. 0715 343 161
  13. Happinessmassagetz

    Faida 20 za massae kwa binadamu

    *FAIDA 20 ZA MASSAGE KATIKA MWILI (Tsh 50,000/=)* 1 Massage inaboresha afya ya ngozi. 2.Massage hufungua mishipa ya fahamu na kuongeza uwezo wa kufikiri. 3. Massage husafisha ngozi na kuboresha mfumo wa utoaji takamwili. 4. Massage Inaondoa kovu la jeraha. 5. Massage husaidia kupona kwa wenye...
Back
Top Bottom