Magari haya ni mapya kabisa. Yanakodishwa kwa ajiri kutembeza watalii sehemu mbalimbali kama vile kuwatoa Airport kuwapeleka hotelini, kuwatoa hotelini kuwapeleka kwenye vivutio mbalimbali vya utalii. Magari haya yapo Dar es Salaam.
Mawasiliano : hkipanga2013@gmail.com
Mkurugenzi wa Halmashauri (W) ya Bagamoyo pamoja na wadau wengine wa Wilaya ya Bagamoyo wanakazi kubwa katika kuinusuru elimu ya wilaya ya Bagamoyo ili isishuke.
Kuna sababu nyingi zinazopelekea elimu ya (W ) Bagamoyo kuporomoka. Sababu kubwa ni nidhamu mbovu ya wanafunzi wanaosoma katika shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.