Recent content by Happiness Essau

  1. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Utekelezaji wake unategemea sana wadau. Tunafanya na tunawashukuru nyote mnaofatilia
  2. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Ndugu, mimi ni Afisa Mawasiliano wa Jamii Media sio wa Mbunge. Taarifa ya mkutano ataleta hapa Mbunge au Katibu wa Mbunge. Hili ni jukwaa la wanaBukoba wote na sehemu sahihi kwa ofisi ya Mbunge, Halmashauri na taasisi nyingine kuwasilisha taarifa zao kwa wananchi. Aidha, nimepata picha chache za...
  3. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Jamii Media imeendesha semina ya Uendeshaji na Usimamizi wa Mijadala Huru (Meza ya Duara) katika Manispaa ya Bukoba leo tarehe 25/7/2017 ikiwa ni sehemu ya mradi wa Tushirikishane. Washiriki wa semina ni wajumbe wa vijiwe mbali mbali katika manispaa ya Bukoba na muwasilishaji alikua ni ndugu...
  4. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Kikao cha kuhitimisha mradi wa TUSHIRIKISHANE jimbo la Bukoba Manispaa kilichofanyika tarehe 21/7/2017 kikiwakutanisha Jamii Media, Ofisi ya Mbunge, Halmashauri na wananchi kujadili kwa pamoja hatua zilizofikiwa katika vipaumbele vinne vya TUSHIRIKISHANE ambavyo ni ahadi nne za mbunge...
  5. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    MRADI WA DARAJA LA ENEO LA KYABITEMBE Nimelazimika kuandika kidogo kuhusu mradi wa daraja la Kyabitembe. Kyabitembe ni eneo lililo katika mtaa wa Bunkango kata ya Nshambya Manispaa ya Bukoba. Mimi ndiye diwani wa sasa wa kata hii baada ya uchaguzi wa 2015. Mwaka 2014 halmashauri ya manispaa ya...
  6. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    TAARIFA JUU YA TATIZO LA MAJI NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA. 1. Ieleweke kuwa miaka yote BUWASA hakuwa na mtandao wa maji katika kata zote za manispaa ya bukoba, kata ambazo mpaka sasa ziko ktk mtandao wa maji ya BUWASA ni kata 10.5, kata 3.5 ambazo haziko ktk mtandao wa BUWASA ni *kahororo...
  7. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Tushirikishane ulikua ni mradi wa miezi 9 ambayo tayari imekwisha. Mwezi huu nitaleta taarifa ya jumla ya mradi. Aidha jukwaa hili ni la kujadili mipango yote ya maendeleo ya jimbo la Bukoba. Mimi nahusika na sehemu ya "Tushirikishane" tu, vingine naleta kama nyongenza. Jukwaa hili linapaswa...
  8. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Asili ya Neno "BAHAYA" na "BUKOBA" na H. Cory Wilaya ya Bukoba ya sasa ina machifu wanane na wanyeji wake huitwa Bahaya. Mwanzoni watu hao wote waliishi kati ya Ziwa Victoria na Mto Kagera, Karagwe na Kimwani hawakua wakiitwa jina moja; wala nchi yenyewe haikua ikiitwa kwa jina moja. Watu...
  9. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Bukoba Park 2012, nani anakumbuka?
  10. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Mi naona tuwatag hapa, watakuja!
  11. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Siamini kama mimi ndo nilikwamisha blog ndugu![emoji4] Jitahidi bana. Mimi nipo.
  12. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Hapo ni wapi ndugu instanbul? Ni Ujirani Mwema tu ndo utakutana na parking ya hivyo katika Bukoba nzima. Na hili ni swala la kutunga visheria tu, halihitaji bajeti.
  13. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Ni kweli! Tatizo la parking linafanya barabara zizidi kuwa finyu na kamji kuonekana achafu. Parking n pedestrian ni shida kabisa Bukoba yetu hii
  14. Happiness Essau

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Ni kweli kabisa na hasa kama masterplan mpya itatekelezwa; stand na barabara mpya ambazo ziko ktk mpango
Back
Top Bottom