Recent content by hapapangu

  1. H

    JamiiForums Tanzania Maswali 3 au 4 ya Ugomvi: Kwa Wanaomlilia Maalim Seif...

    kweli Tanzania ni mijitu mipumbavu wavivu wa kufikiri na watu wasojiamini mijitu ambayo kudai haki zao wanaogopa mpumbavu mmoj kwa jina la mwanakijiji anauliza kwanini mnaamini seif kashinda wakati kila mara jaji lubuva anarudia kila kituo kitajumlisha matokeo yote ya ubunge wakilishi na...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Achaneni na mgogoro wa visiwani, acheni Zanzibar ijitenge

    ikiwa hamjuwi historia msitake kupotosha waloshtakiwa kumuuwa karume ni comrade umma party aliyemuuwa karume ni lutein humud Mohamed kulipa kisasi cha babake aliyeuliwa jela kwa sababu alikuwa hizbu. kassim hanga kauliwa jela kabla ya karume kuuliwa around 1970. ali mahfoudh abdulrahman babu...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanashindwa kuwalipa Walimu lakini wanaweza kutumia fedha nyingi kuwalipa Wasanii?

    bora uitwe mjinga kuliko mpumbavu, pesa hizo za kuhonga zinatoka serekalini na mbaya zaidi zinatoka kwa l' lobbiest' hawa mkishinda inabidi uwalipe pesa zao. ndio maana unasikia container mia zimepewa exemption umasikini si jadi yetu bali tunaukumbatia kwa upumbavu wetu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Rais Jakaya Kikwete? Mbona hekaheka

    'Nashangaa' rais unazungumza kama uko kijiwe cha kahawa halafu unataka tumchanguwe mwengine ambaye ashasema mimi nafuata nyayo zenu. ccm ilikuwa ife tangu 2010. wapinzani walikuwa wachukuwe nchi lakini walikuwa hawako serious. ukiangalia data za 2010 utajuwa ccm ilikataliwa zamani
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    usishabikie lowasa kupelekwa mahakamani hakuna atakayesalimika ccm , ndiye maana hii nchi hatuwezi kupata maendeleo mpaka ccm waondoke madarakani. kama tunafikiria lowasa peke yake tukapime akili uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wasanii mbalimbali waliojitokeza viwanja vya Jangwani kwenye kampeni za UKAWA… (picha)

    nani kakwambia bob junior mchaga babake mhindi mamake mzanzibar
  7. H

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    matusi na kejeli ndio karata ya mwisho watazungumza kitu gani hata watanzania wawaelewa miaka hamsini walotawala kila kitu waloanzisha ama kimekufa au kiko ICU BON VOYAGE CCM tutakuja kukutembeleeni makumbusho baada ya uchaguzi
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kurudisha shukrani kwa chama cha mapinduzi

    nakubaliana na wewe kutawaliwa kubaya lakini bora ukoloni kuliko utawala wa ccm.wazee wetu walikuwa na maisha mazuri kila walichokikuta wamekiharibu wao hawajatengeneza chochote zaidi ya vibaka mafisadi wezi wa mali ya umma kubambikiwa kesi na umasikini wa kutupwa. kila mwenye akili timamu...
Back
Top Bottom