Recent content by Hanjie

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania, Wachina hununua gramu1 ya Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000

    lkn bei haipo kama hvo ulivoweka ww, kwa bei yasasa nitafute tuongee
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania, Wachina hununua gramu1 ya Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000

    kabisa yaani kama unao mzigo nitafute tu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania, Wachina hununua gramu1 ya Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000

    bei saiz haiwezi kupanda coz usafiri ni changamoto kwa issue hii ya corona
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania, Wachina hununua gramu1 ya Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000

    Bado nahitaji hii kitu kama kuna mtu yupo nazo tafadhali nitafute kupitia hizo number hapo juu.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya kahawa na mikoa inakopatikana

    Kwaio mm ninachotafuta sio soko wapi nitauza au nani nitamuuzia ,nahitaji kujua wapi nitazipata na kwa bei gani
  6. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya kahawa na mikoa inakopatikana

    Nilishafanyia utafiti hilo na kuna kampuni imetaka nifatilie kahawa ya Africa zaid Tanzania na Kenya coz wameniambia kahawa hizi zina ubora wake
  7. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya kahawa na mikoa inakopatikana

    Najaribu kufatilia upatikanaji wake ili kama zinapatikana na bei ipo nzuri nakusudia kusafirisha kupeleka nje
  8. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya kahawa na mikoa inakopatikana

    Kununua na kuuza coffee beans
  9. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya kahawa na mikoa inakopatikana

    Habari wana Jamii forum, Naomba kuuliza kwa anaefahamu, naomba kujua bei ya kahawa na ni mikoa gani inapatikana kwa wingi hapa Tanzania. Ahsanteni.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta yaliyotengenezwa na majani au matunda

    kwa sasa bado sijayahitaji lkn ikitokea nimeyahitaji nitakutafuta, Asante
  11. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta yaliyotengenezwa na majani au matunda

    Nimeskia hilo najaribu kufatilia kutafuta mtu wa kuweza kusupply kutoka huko
  12. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta yaliyotengenezwa na majani au matunda

    Asante nitapitia huko kuangalia na mm nipo Zanzibar kwaio kama upo na contact za Edel natural sio mbaya ukanitumia pm. Asante
  13. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta yaliyotengenezwa na majani au matunda

    Asante kwa ushauri but nilikua nahitaji Amount kubwa ndo maana nahitaji kupata kwa watu amabao ni kama kiwanda au kama Organization hivi ambazo zinajishughulisha na ukamuaji wa hayo mafuta.Asante
  14. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta yaliyotengenezwa na majani au matunda

    Sawa, sms yako haijafika but naangalia
  15. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta yaliyotengenezwa na majani au matunda

    Ipo miti mingi tu mkuu inazalisha mafuta hata hapa TZ Mchaichai(lemongrass) Mbuyu(Baobab) Parachichi(Avocado) karanga pori(Macadamia)nk
Back
Top Bottom