Recent content by handsome2

  1. H

    Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

    isee nitawakagua kesho nione kama kuna ambaye hana doa mkuu
  2. H

    Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

    lahasha hayo ni maneno ya mtaani tu!wanakula kawaida mkuu
  3. H

    Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

    hahahah koko ndio anamgeuzia kibao hata bossi wake mkuu,sikufichi hapa majirani wanaonizunguka wameshavamiwa wote lakini hapa kwangu hakuna aliyewahi kutia mguu hata mmoja.
  4. H

    Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

    kama wewe ni mfugaji unaelewa mkuu!hao ni pure GS ndio mzao wa kwanza nimeona nifungue soko,
  5. H

    Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

    lazma uwazoeshe sehemu ya kujisaidia wasiwe kama koko,hawa mbwa wana uelewa na utii wa hali ya juu
  6. H

    Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

    sina mengi mkuu angalia picha ya wazazi hapo juu
  7. H

    Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

    na kwa anayewajua hao mbwa hiyo ni bei ya kutupa,mimi wakiwa na week nne nilichukua kwa 400,000 kwa kila mmoja
  8. H

    Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

    pole mkuu,kwakifupi hao ni simba
  9. H

    Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

    hao ni baba na mama
  10. H

    Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

    kichwa cha habari chahusika,mbwa wenye umri wa week tano aina ya German Shephard wanauzwa,bei yake ni Tshs.200,000 kila mmoja,kwa wale mnaoishi na familia mnajua uchungu wa kuvamiwa na majambazi,kiboko yao ni hawa mbwa.Napatikana tabata Kinyerezi.serious buyers njoo PM.
  11. H

    Pata miche ya miembe

    chaguo ni lako mkuu,kikubwa ujue ubora wa hiyo miti unayonunua,mwanzoni nilinunua miembe huko usemapo tangu mwaka 2011 mpaka leo haijawahi kuzaa,lakini mbegu hii nimepanda 2015 ndio unaona maembe yananing'inia hapo,wakati mwingine vya rahisi sana impact yake sio nzuri,hujawahi kuona watu...
  12. H

    Pata miche ya miembe

    heri yako umewafafanulia mkuu,unachofanya wewe ni kupiga dawa wakati wa maua yanatoka na dawa ya ukungu,then unasubiri mavuno
  13. H

    Pata miche ya miembe

    elfu kumi ina sifuri nne,na elfu moja ina sifuri tatu 000, mimi nimeandika 10,000 pale kwenye tangazo
  14. H

    Pata miche ya miembe

    mwaka mmoja kama unautunza vyema mkuu!
Back
Top Bottom