Recent content by Handsome wa Urambo

  1. H

    GE2020 Askofu Gwajima amlaumu Halima Mdee kwa mafuriko ya Dar-es-Salaam siku ya leo

    Unataka kumchafulia Gwajima lakini kawe tunataka maendeleo na mabadiliko kwahiyo usituambie huu ujinga wako
  2. H

    GE2020 Halima Mdee: Natuhumiwa kumchonganisha Gwajima na madhehebu mengine na waumini wake

    Hivi watu wanataka Gwajima awe maskini ndiyo atakuwa mwenye haki
  3. H

    GE2020 Halima Mdee: Natuhumiwa kumchonganisha Gwajima na madhehebu mengine na waumini wake

    Kawe ina stahili maendeleo na mabadiliko, wanakawe tunamchagua Gwajima anaweza na anafaa
  4. H

    GE2020 Gwajima hafai kuwa mbunge, bora kupigia kura kinyago

    Unadhani haya maneno yako ya upuuzi yatatufanya tuache kumchagua Gwajima, yaani unatushawishi sisi wadau kuwa tumchague Halima ambaye hajafanya maendeleo yoyote.
  5. H

    GE2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

    Haki ipi na maendeleo yapi aliyoyafanya, uoni aibu kutuma ili tangazo
  6. H

    GE2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

    Ambaye hajafanya maendeleo yoyote miaka kumi, hapo nonsense ni ipi.
  7. H

    GE2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

    Mwanzoni nilikuwa naipenda chadema sana lakini jambo moja nimegundua huwezi kupenda kitu kwa muda mrefu kama akikupi faida yoyote, miaka kumi ya changamoto imetosha.
  8. H

    GE2020 Wana Kawe kataeni mateso mengine ya miaka 5

    Kufanya kosa ni sawa lakini mbaya zaidi ni kitendo cha kurudi kosa, wanakawe kwa muda mrefu tumeteseka changamoto zetu zote hazijafanyiwa kazi. Mwanzoni nilikuwa napenda chadema kwa sababu niliamini wataleta mabadiliko na maendeleo lakini imekuwa tofauti sana..kwa sasa sitarudi makosa ya mwanzo
  9. H

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Sio mbaya sana kuachana na issue za ubunge nahsi alikuwa anataka kula bata
  10. H

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Lakini bora alijua mapema hivi assume sahvi unapita kule mbweni halafu unamwaga sera zako na kujifanya mzalendo nani atakuelewa kweli.. hata maji ya bomba tu ameshindwa kutuletea aseeh
  11. H

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Alikubali kushindwa tangia mwanzo na anajua kabisa hawezi kuwaongoza wananchi wake ndiyo maana aliogopa
  12. H

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Sasa kama mtu unajua una shindwa na hauna uwezo wa kuwatetea wananchi wako utapata wapi nguvu ya kugombea tena
  13. H

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Hata mimi ningekuwa yeye nisingetaka kugombe tena miaka kumi yote haujafanya kitu unaenda kuwaambia nini wananchi wako
Back
Top Bottom