Kwema wadau poleni na majukumu Nina swali kidogo naomba tusaidiane kuhusu kata ya Ngudu, kwimba.
Je Ngudu, Kwimba kuna fursa gani nzuri za biashara zinafaa kuwekeza kule kwa wakati huu?
Kwema humu wadau poleni na majukumu mimi ni mkazi wa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu nilikua naomba kujua je gharama za kuchukua vilainishi vya magari kama oils (total au Castrol), grease, cc, hydraulic na brake fluid wanauzaje kwa Bei ya jumla mfano jijini mwanza.
Kama Kuna wakala wa total...
Kwema wadau kuna jambo nimefikiria nikaona niwashirikishe wadau je kwa mikoa ya simiyu shinyanga au mwanza kuna uwezekano wa kubadilishana bidhaa vijijini kwa mikoa tajwa hapo juu.
Mfano nikaenda na dagaa nikarudi na kuku au nikaenda na sabuni na vyombo vya ndani nikarudi na mahindi.
Je barter...
Kwema wadau nilikuwa naomba kujua je eneo la Kisesa Mwanza ni pachangamfu kufanya biashara ya vinywaji baridi soda maji n.k au ya nafaka kwa Bei ya rejareja
Mwenye uzoefu na biashara hizo kwa eneo la kisesa mwanza naomba points zenu muhimu.
Asante
Kwema wadau mimi kijana mfanyabiashara mdogo wa vinywaji baridi kama soda, maji n k. Lengo kuu la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri wa kibiashara na kimaisha.
Nimepata wazo la kutaka kuhamia mjini Bariadi ili niendeleze maisha huko pamoja na biashara zangu
Kwa ambaye anapafahamu vizuri...
Kwema mdau, biashara ya soda ni nzuri iwapo ukipata sehemu nzuri ya mzunguko wa watu na pia Mimi nitatoa gharama za rejareja kuhusu biashara iyo ya soda.
Ukinunua being jumla kwa wakala wa vinywaji Bei zake ni kama ifuatavyo
1. Pepsi - 20,000/= (kreti ikiwa na soda zake) ila kama una kreti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.