Recent content by Hamzad

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kufanyiwa operation ya Appendix njooni mnisaidie

    Nimependa polite language iliyotumiwa na wachangiaji wa thread na hali ya upole ya mletaji mada.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta Mwanasiasa Bora Afrika Mashariki

    Rais Uhuru alichofanya ni hikima tupu. Licha yakuwa ana power ya kuzuia kilichotokea lakini alitambuwa kuwa anachokifanya Raila ni ujinga. Na kawaida ujinga ambao hautaleta madhara ukiachwa kutendeka kuliko kuuzuia, mwenye hekima huuacha utendeke. Ndicho alichofanya Uhuru.
Back
Top Bottom