Recent content by HAMY-D

  1. H

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nilifukuzwa shule nikiwa form 5 nikaenda Mkwawa nikawa nawafundisha twisheni Wanafunzi wa form 5 na 6!

    Hana Mamlaka ya kuamuru Polisi kupiga risasi. Ikitokea Polisi wamepiga risasi na kuua raia kisa maandamano anayewajibika ni RPC wa mkoa husika (kama uwajibikaji utakuwepo).
  2. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

    Ila hii wala sio habari kubwa kwa sasa. Ilitarajiwa siku nyingi sana kuwa itakuwa hivyo. Mjadala wa bandari ni muhimu zaidi kuliko hadhi ya kitu chochote. Tuendelee kujadili!
  3. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Huyu Balozi ni mstaafu tayari…Mama haoni watu wengine kwenye system ambao wanaweza kufanya kazi ya DGIS mpaka turudishe wastaafu kazini!?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Wewe nenda katafute chanzo…Sio kazi yetu hiyo. Kazi yetu ni kukomenti tunayotaka kwa kutukia bundle zetu. Wewe uzuiliwi kumsifia huyo mal*y* kama unataka.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Fresh tu…unakisoma kisha unakiweka pembeni…Maisha yanaendelea. Unapungukiwa na nini!?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Tupunguzie pumba humu jukwaani
  7. H

    JamiiForums Tanzania Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Ki-note ni kitu cha kawaida sana. Unless wewe upo porini na hauna utaratibu wa kufanya mikutano ya hadhara ama ya kibishara, kidini au kiserikali.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Bwana eeeh…atutokee hapa kwani yeye tu ndio anatakiwa kuwa KM!? Haya Katumbuliwa….kazi si zinaendelea!? Yeye ameonyesha dharau mbele ya Watumishi wenzake kwa kujiona bora zaidi…Kumbe ukweli ni kuwa yeye ni TAKATAKA tu…Haya sender kuyafokea matoto yake nyumbani uone kama tutamjadili hapa.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Kingeandikwa kitu kizuri au kibaya…Sio hoja whatsoever na ahihalalishi kitu alichofanya. Amefanya kitu ambacho hakijawahi kufanywa na kiongozi yeyote toka mifumo ya Serikali ianze kazi hapa Duniani.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Kwa ufupi anakuwa demoted. Kama ni wale wa kuokotwa jalalani ndio anarudi jalalani kwa mara nyingine.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Acha basi ujinga…hata hata kama akili huna tumia hata za kufikia barabara kuchangia humu JF
  12. H

    JamiiForums Tanzania Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Moderator tunaomba hizi video ziwe pinned kule juu ili wasomaji waone huyu KM alikuwa ni mtu wa aina gani. Pongezi kwa Mama kwa kutoa hii TAKATAKA kwenye hiyo nafasi.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ninyi wakurya wa Nyamongo kwa nini mnaua Daktari kijana kama huyu?

    Mkuu, Mazishi yalifanyika wapi?
Back
Top Bottom