Recent content by hamtwice

  1. hamtwice

    JamiiForums Tanzania Kero Mashine Za EFD za TRA

    Serikali iangalie upya hili swala la mashine za efd inakuwa zinafikia kimoko ya ukishatoa jumla ya idadi za risiti Z reports 1850 hivi inakuwa kimoko inakuhitaji kuninua mashine nyingine ambayo ni si chini ya 570,000 tshs inaumiza sana kwa mfanyabiashara wa kawaida!
Back
Top Bottom