Recent content by hamsan mpili

  1. H

    Pensheni za PPF

    Kwa nini PPF haiongezi pensheni kwa wale wanaopata zaidi kima cha chini kama wafanyavyo nssf.Hawa nssf wanaongezea wastaafu wote kwa uwiano (yaani asilimia zinazolingana).Hamjui kuwa hali za maisha zinapanda kwa wote.Hii mnatufanya tuwashauri watoto wetu tuwashauri wajiunge na mifuko mingine na...
  2. H

    Ushauri: Msc Economics and Finance for Development..Mzumbe University

    Ukiona mtu anadharau chuo kikongwe kama Mzumbe UDSM IFM na vingine ujue kesha jaribu kusoma akapigwa Disco bcz kichwani maluweluwe .Nenda kasome kijana achana na hao.
Back
Top Bottom