Recent content by hamsa hamsa

  1. hamsa hamsa

    Dakika ya 90, Feitoto anajifunga goli mwenyewe!!

    Feitoto kajitia kidole matakoni kwake mwenyewe
  2. hamsa hamsa

    FT: ASFC: Singida Big Stars FC 0-1 Young Africans | LITI Stadium | 21-05-2023

    Mayeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...
  3. hamsa hamsa

    Walokole wadhibitiwe, wakiachwa hivi nchi haitakalika

    Kweli mkuu hawa wanatakiwa wafunguliwe mashtaka
  4. hamsa hamsa

    Walokole wadhibitiwe, wakiachwa hivi nchi haitakalika

    Jamaa ana style za hatari[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
  5. hamsa hamsa

    Walokole wadhibitiwe, wakiachwa hivi nchi haitakalika

    Mkuu wenye mapepo kwani wapo mitaani?
  6. hamsa hamsa

    Walokole wadhibitiwe, wakiachwa hivi nchi haitakalika

    Mkuu ibada ifanyike mahali pake. Hivi unadhani kila dhehebu wakiamua nao wamebe maspika waingie mabarabarani Hali itakuwaje??
  7. hamsa hamsa

    Walokole wadhibitiwe, wakiachwa hivi nchi haitakalika

    Hata hao pia watupunguzie kelele, lakini Hawa walokole ndio wamezidi. Unaweza ukawa zako gest unachakata mbususu mara anapita dirishani na spika lake
  8. hamsa hamsa

    Walokole wadhibitiwe, wakiachwa hivi nchi haitakalika

    Yaani ni hatari.. upo zako una piga gambe mara huyu hapa mhubiri na spika lake anasema tuache kunywa pombe mara pombe ni zambi
  9. hamsa hamsa

    Walokole wadhibitiwe, wakiachwa hivi nchi haitakalika

    Mahubiri yafanyike kwenye NYUMBA za ibada au sehemu rasmi zilizotengwa km viwanja vya wazi
  10. hamsa hamsa

    Walokole wadhibitiwe, wakiachwa hivi nchi haitakalika

    Hawa watu wamekuwa ni kero kubwa kwenye jamii yetu. Ukipanda ma bus ya safari kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine unakutana nao. Ukipanda daladala wamo, ukienda sokoni wapo. Ukienda kwenye hospitali zetu kubwa utawakuta wapo, ukienda vituo vya mabus au vituo vya daladala wapo. Yaani Kila eneo...
  11. hamsa hamsa

    Pichani ; Mnyama mkali Simba sc akiwa mazoezini kumuwinda Coastal Union #TunaitakaFainali

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
  12. hamsa hamsa

    Man City Kutwaa ubingwa nje ya Uwanja ?

    Ndio hivyo, hichi kipigo cha Arsenal automatic kinawapa ubingwa The citizens
  13. hamsa hamsa

    Hili hapa kombe la Caf Confederation Cup ambalo Yanga anaenda kulibeba

    Ewaaaaaaaaa...Hili Kombe ni Copyright ya fifa world cup
Back
Top Bottom