Recent content by Hamnipati

  1. H

    JamiiForums Duniani kote, leo ni siku ya watu waliopotea ambao hatujui wako wapi. Je, Tanzania huwa tunaiadhimishaje?

    Kwamba usiku mmelala, halafu mnaamka asubuhi na kukuta mwenzenu amepotea t, hajulikani aliko. Mamlaka zinapelekewa taarifa kwamba ndugu yetu, jirani yetu, mfanyakazi mwenzetu amepotelea kusikojulikana Mamlaka kama kawaida zinaahidi kushughulikia tatizo hilo. Lakini inapita miaka hakuna lolote...
  2. H

    JamiiForums Magufui njoo CMA, ucheleweshwaji wa Kesi za Ajira ni tatizo

    Rais Magufuli amekerwa na mahakimu ambao wanachelewesha kesi na kukosesha haki isitoke mapema. Lakini Rais inaelekea hajaelezwa ukweli wote wa sekta hii na kibaya zaidi hakuwahi kufanya kazi katika sekta ya Kazi na Ajira na inawezekana hana picha kamili. Kinachotokea kwa mahakimu ndiho kilkile...
  3. H

    JamiiForums Waziri Maghembe awasimamisha kazi Vigogo Kilimanjaro National Park

    Waziri Maghembe njoo huku mbuga ya Ruaha utumbue majipu. Watu wanauza nyara za serikali kushirikiana na jamaa zao. Mtu ana shahada ya cheti cha diploma ya uhasibu lakini baada ya kuingia TANAPA ana ukwasi mkubwa pale Iringa. Jamaa wanajenga shule za chekechea kwa wake zao na nyumba za guest...
Back
Top Bottom